Friday, March 12, 2010



Angalau hawa wamepata hii nafasi, wenzetu wengine hawa inakuaje?

Tuesday, March 9, 2010



Hawa watoto wanaweza kutumia Co......m?

MAKUBWAAA

YALAHHHH!
Siku chache zilizopita nimesoma gazeti moja linaloeleza kuwa Condom mahususi kabisa kwa ajili ya watoto zipo madukani tayari kabisa kwa matumizi. Ki ukweli nimeshtuka si kidogo na kujiuliza., Hivi ngono ni muhimu kiasi hiki hata kwa watoto? Ukiuliza kwa nini utaambiwa Ukimwi hauna mipaka. Wewe unafikiri nini kuhusu suala hili?